Posted on: September 10th, 2025
Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkoa wa Simiyu imefanikiwa kutekeleza mradi mkubwa wa utunzaji wa mazingira wenye thamani ya Tsh. milioni 2.13. Mradi huu umefadhiliwa kupitia mapato ...
Posted on: September 3rd, 2025
Mradi wa ujenzi wa bweni lenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 80 pamoja na uzio katika Shule ya Msingi Igaganulwa, Kata ya Dutwa, umekamilika kwa gharama ya Tsh.milioni 198 kupitia fedha za Serikali Kuu....
Posted on: September 1st, 2025
Kikundi cha Vijana Wachapakazi kutoka Kijiji cha Banemhi, Kata ya Banemhi, kimeendelea kuonyesha mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 2022.
Kikundi hiki chenye wanachama sita (wote wanaum...