1. Malipo ya Leseni za Biashara hufanyika kila baada ya mwaka mmoja wa Kiserikali yaani 01.07 kwa mwaka husika
2. Onana na Afisa biashara wa Halmashauri ili aweze kufanya tathimini ya Biashara yako kwani kila biashara ina kiwango chake.
3. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0769409269
Bariadi
Anuani: 109-Bariadi
Simu: 028 2700012
Simu: +255683705815
Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz
Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.