• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

BALOZI WA PAMBA AMALIZA ZIARA BARIADI DC

Posted on: November 27th, 2022

Balozi wa Pamba nchini Mh. Aggrey Mwanri leo amemaliza ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kwa kufanya mikutano katika vijiji vitano vya Nkindwabiye, Halawa, Sapiwi, Igegu na Igegu magharibi.

Akiwa katika ziara hiyo licha ya kuwasisitiza wakulima kuzingatia kanuni za kilimo bora cha pamba pia aliwakumbusha wakulima hao kuwa zao la Pamba ni miongoni mwa mazao ambayo huweza kumuingizia mkulima kipato kikubwa.

Balozi huyo aliendelea kubainisha kuwa endapo wakulima wengi watalima zao la Pamba kwa tija itawasaidia kuuza mazao yao mengine kwa bei nzuri kwani hawatakuwa na ukata utakaowasukuma kuuza mazao mengine kama mahindi na mpunga kwa bei ya chini.

“Wakija walanguzi kununua mazao yenu hamtaweza kuuza kwa bei ya kutupa, mtasubiri mpaka mazao hayo yatakapo adimika ndipo mtakapoweza kuuza” alisisitiza Balozi Mwanri

Balozi wa Pamba kitoa hamasa kwa wananchi wa kijiji cha Chungu cha Bawawa kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

Aidha wakati wa ziara hiyo Balozi Mwanri aliweza pia kuwaonesha jembe la kupalilia pamba linalovutwa na wanyama kazi linavyoweza kufanya kazi ya kupalilia pamba ambayo imepandwa katika mstari na kuzingatia vipimo vya sentimita 60 kwa 30. Balozi huyo aliongeza kuwa jembe hilo huweza kuongeza ufanisi kwani linauwezo wa kupalilia wastani wa hekari tatu kwa siku.

Afisa Ugani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi akitoa maelekezo yanayohusu kilimo cha Pamba

Baada ya ziara ya Balozi wa Pamba katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi  ataelekea wilaya ya Itilima kwaajili ya kuendelea kuhamasisha wakulima waweze kulima pamba kisasa na kwakuzingatia kanuni zote muhimu.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 - BARIADI DC December 14, 2022
  • WALIOCHAGULIWA KWENYE AJIRA ZA MUDA KAZI YA SENSA-2022 July 26, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 15, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 23, 2022
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • RUWASA SIMIYU YATIA SAINI MIKATABA YA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

    January 11, 2023
  • BALOZI WA PAMBA AMALIZA ZIARA BARIADI DC

    November 27, 2022
  • BALOZI WA PAMBA NCHINI AANZA ZIARA BARIADI DC

    November 26, 2022
  • WAZIRI WA TAMISEMI ARIDHISHWA NA UBORA WA MIRADI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA BARIADI

    November 25, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Ukamilishaji wa Shughuli za Madawati
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255712431642

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.