• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

BALOZI WA PAMBA NCHINI AANZA ZIARA BARIADI DC

Posted on: November 26th, 2022

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora Ndg. Aggrey Mwanri ambaye ndiye Balozi wa Pamba nchini leo ameanza ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi na kufanya mikutano na wakulima wa Pamba wa vijiji vya Chungu cha Bawawa, Mwasinasi, Mwasilimbi na Ihusi.

Lengo la ziara ya Balozi huyo ni kuhamasisha wakulima wa Mikoa inayolima Pamba nchini kulima pamba kwa kuzingatia kanuni kumi za kilimo bora cha pamba ili kuleta tija kwa wakulima wa zao hilo.

Balozi wa Pamba akiwa na Viongozi kutoka kata ya Nkololo kijiji cha Chungu cha Bawawa

Balozi Mwanri katika mikutano yake aliwaeleza wakulima kinagaubaga juu ya kanuni hizo na umuhimu wa kuzingatia kila kanuni. Miongoni mwa kanuni ambazo Balozi huyo aliwaelezea wananchi ni pamoja na kung’oa na kuchoma moto masalia na miti ya pamba ya msimu uliopita, kupanda kwa kufata vipimo sahihi (sentimita 60 kwa 30), kutumia samadi wakati wa upandaji na kutochanganya Pamba na mazao mengine.

Balozi wa Pamba na timu yake wakimsikiliza na kumshauri mkulima aliyezingatia upandaji wa pamba kwa mstari

Naye Paulo Nkinda ambaye ni miongoni mwa wakulima waliohudhuria mkutano wa Balozi Mwanri kutoka kijiji cha Ihusi  alisema “Leo tumepata mafunzo mazuri sana kuhusu kilimo cha Pamba, tunaahidi kuzingatia mafunzo tuliyopewa ili yatusaidie tuweze kupata pamba nyingi zaidi”

Ziara ya Balozi Mwanri katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi itafanyika kwa muda wa siku mbili katika vijiji ambavyo katika msimu uliopita havikufikiwa. Atakapohitimisha ziara hii katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Balozi Mwanri atafanya kikao cha Wilaya kwaajili ya Majumuisho ili kuruhusu mjadala na kupokea mawazo mbalimbali kutoka kwa wadau wa Pamba waliopo Wilayani ya Bariadi.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 - BARIADI DC December 14, 2022
  • WALIOCHAGULIWA KWENYE AJIRA ZA MUDA KAZI YA SENSA-2022 July 26, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 15, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 23, 2022
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • RUWASA SIMIYU YATIA SAINI MIKATABA YA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

    January 11, 2023
  • BALOZI WA PAMBA AMALIZA ZIARA BARIADI DC

    November 27, 2022
  • BALOZI WA PAMBA NCHINI AANZA ZIARA BARIADI DC

    November 26, 2022
  • WAZIRI WA TAMISEMI ARIDHISHWA NA UBORA WA MIRADI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA BARIADI

    November 25, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Ukamilishaji wa Shughuli za Madawati
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255712431642

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.