• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

DC BARIADI AWASIHI WANANCHI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UVIKO-19

Posted on: October 25th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mh. Lupakisyo Kapange amewataka wananchi wa Wilaya ya Bariadi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Uviko-19.

Mh. Kapange alitoa rai hiyo katika kikao cha Afya ya Msingi (PHC) kilichofanyika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi. Kikao hicho kiliwakutanisha wadau mbalimbali wa Afya kutoka Wilaya ya Bariadi lengo kubwa likiwa ni kujadili mikakati na namna ya kutoa hamasa kwa wananchi kwenye zoezi la utoaji wa Chanjo ya Uviko-19 kwa watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea lililoanza tar 24/10/2022 na linalotarajia kumalizika tarehe 30/10/2022.

Wajumbe wa kikao cha Afya ya Msingi (PHC) wakiwa kikaoni katika Ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Bariadi iliyopo Dutwa

Mh. Kapange alibainisha kuwa kwasasa mwamko wa wananchi wengi kuhusu kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 umekuwa chini jambo ambalo alisisitiza kuwa linahitaji elimu izidi kutolewa kwa wananchi na kupinga imani potofu iliyojengeka kuwa chanjo hii ina madhara kiafya.

“Niwashuru kwa kazi njema mliyoifanya ila tuongeze wigo wa Elimu kwenye upande wa UVIKO kwasababu ugonjwa huu upo haujaisha, kwahiyo Elimu iendelee kutolewa. Sasa hivi watu wamejisahau hata kwenye mikusanyiko hakuna anayejali barakoa, hakuna anayejali Sanitaiza…” Alifafanua Mh. Kapange

Katika taarifa za Halmashauri za Mji wa Bariadi na Wilaya ya Bariadi zilizosomwa mbele ya Mkuu wa Wilaya huyo zilibainisha kuwa kwa sasa katika Wilaya ya Bariadi hakuna mgonjwa aliyebainika kuwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo lengo la zoezi hili la utoaji chanjo ni kuwafikia kundi ambalo hawajachanja ikiwa ni njia ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa huo.

Wajumbe wa PHC wakiwa kwenye kikao, Mwenyekiti akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mh. Lupakisyo Kapange

Chanjo ya Uviko 19 katika Wilaya ya Bariadi awamu hii inatolewa Katika vituo mbalimbali kama Vile Vituo vya Afya vya Byuna na Muungano pamoja na Zahanati za Masewa, Nyamswa, Nkololo, Ikungulyambeshi , Bunamhala na Mwakibuga.

Matangazo

  • RIPOTI YA MGAWANYO WA IDADI YA WATU KWA UMRI NA JINSI February 13, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 19, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura. August 31, 2024
  • Tangazo la Shughuli ya Muda Mfupi kwaajili ya Uchaguzi September 17, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Muonekano Halisi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu

    May 31, 2025
  • ZIARA YA MIRADI YA MAENDELEO BARIADI DC

    May 30, 2025
  • Maafisa Elimu Kata na Wakuu wa Shule Wapatiwa Mafunzo ya Usimamizi wa Ufundishaji na Ujifunzaji Fanisi.

    May 30, 2025
  • DC BARIADI AONYA WANANCHI KUTOCHUNGIA MIFUGO KWENYE MAPORI YA AKIBA

    May 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Bariadi, akifafanua kwa undani Banuai ya Halmashauri Wilaya ya Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255683705815

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.