• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

MKOA WA SIMIYU WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI

Posted on: May 19th, 2023

Mkoa wa Simiyu leo umefanya maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani katika viwanja vya Dutwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi. Katika maadhimisho hayo huduma mbalimbali za kiafya zilitolewa bila malipo, miongoni mwa huduma hizo ni pamoja na upimaji wa saratani ya kansa ya shingo ya kizazi, upimaji wa afya ya macho, upimaji wa ugonjwa wa kisukari, upimaji wa shinikizo la damu na utoaji wa elimu ya lishe. Aidha katika maadhimisho hayo waliendesha zoezi la uchangiaji wa damu na utoaji wa chanjo mbalimbali kama vile chanjo ya Uviko-19.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mh. Simon Simalenga (aliyevaa kofia) akiwa na wajumbe meza kuu

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Simon Simalenga akiwa amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ndiye alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, sambamba na kutembelea mabanda mbalimbali ya kutolea huduma za afya uwanjani hapo alipata nafasi ya kukabidhi zawadi kwa wauguzi hodari kutoka Halmashauri zote.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KAZINI May 24, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA WATENDAJI WA VIJIJI February 23, 2023
  • SHULE YA SEKONDARI NYASOSI YAPANDISHWA HADHI March 16, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 - BARIADI DC December 14, 2022
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MKOA WA SIMIYU WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI

    May 19, 2023
  • DC BARIADI AFANYA KIKAO NA VIKOSI KAZI VYA PAMBA VYA KATA ZOTE

    May 11, 2023
  • WADAU KUTOKA KATA 09 ZA BARIADI DC WAJENGEWA UWEZO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST

    May 02, 2023
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YATEMBELEA MIRADI YA JOSHO NA KIKUNDI CHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

    April 13, 2023
  • Angalia Vyote

Video

Ukamilishaji wa Shughuli za Madawati
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255712431642

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.