• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

SIMIYU MSHINDI WA 3 KITAIFA KATIKA MWENGE WA UHURU 2024. RC KIHONGOSI AMSHUKURU MHE.RAIS DKT.SAMIA, AWASHUKURU VIONGOZI WA MKOA NA WILAYA KUFANIKISHA USHINDI.

Posted on: October 15th, 2024

SIMIYU MSHINDI WA 3 KITAIFA KATIKA MWENGE WA UHURU 2024.


Pichani:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo ya Mshindi wa Tatu wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2024  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Kenan Laban Kihongosi baada ya Mkoa wa Simiyu kushika Nafasi ya tatu Kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024.Wa pili kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Kayombo.


NENO LA RC KIHONGOSI BAADA YA KUKABIDHIWA TUZO.


"Leo Nina Mshukuru Mungu Kupata heshima ya kupewa zawadi na Mheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt @samia_suluhu_hassan kwa Mkoa wetu wa Simiyu"


"Tumefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2024. Ninawashukuru Kamati ya Usalama Mkoa na Wilaya zote,Viongozi wetu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa na Wilaya zote pamoja na jumuiya zote za chama,Katibu tawala wetu wa Mkoa,Wakuu wetu wa Wilaya,Wakurugenzi wote, Wenyeviti wa halmashauri na madiwani,watumishi wenzangu wote wa mkoa wa Simiyu pamoja na taasisi za Umma na Taasisi binafsi bila kuwasahau wanananchi wetu wa Mkoa wa Simiyu. Tunashukuru sana sana na hongereni sana"


"Mungu azidi kutupa umoja upendo na mshikamano katika kazi"

Matangazo

  • RIPOTI YA MGAWANYO WA IDADI YA WATU KWA UMRI NA JINSI February 13, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 19, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura. August 31, 2024
  • Tangazo la Shughuli ya Muda Mfupi kwaajili ya Uchaguzi September 17, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • RC Kihongosi Akabidhi Pikipiki na Vifaa vya Kidijitali Kuboresha Huduma za VVU Bariadi.

    May 08, 2025
  • BARIADI DC KUANZA KUTOA DOZI YA PILI YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO (IPV2) KUANZIA MEI 2025

    April 30, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA MAFUNZO KWAAJILI YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI AONGOZA KIKAO CHA KUJIRIDHISHA JUU YA MAOMBI YA KUGAWA JIMBO LA BARIADI

    April 24, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Bariadi, akifafanua kwa undani Banuai ya Halmashauri Wilaya ya Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255683705815

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.