• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

TASAF YAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI BARIADI DC

Posted on: January 23rd, 2023

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi inayofadhiliwa na Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta duniani (OPEC).Miradi hii ya TASAF hutekelezwa kwa awamu ambapo katika awamu ya kwanza halmashauri ya Wilaya ya Bariadi ilianza kwa kutekeleza ujenzi wa  Bweni la wanafunzi 80 katika Shule ya Sekondari Nyasosi, Ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Chungu cha Bawawa, Ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa afya katika kituo cha afya matongo na ujenzi wa maktaba ya wanafunzi 80 katika sekondari ya Nyasosi.

Nyumba ya Mtumishi wa Shule ya Sekondari Gambosi iliyojengwa na Mfuko wa Maendeleo TASAF

Miradi hii ya awamu ya kwanza imekamilika kwa asilimia zaidi ya 85.Katika awamu ya pili TASAF imeanza kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa madarasa mawili na Ofisi pamoja na matundu sita ya vyoo katika shule za msingi za Masewa B, Isuyu na Mwaumatondo kila mradi ukiwa na thamani ya shilingi 69,030,945.62Vilevile katika awamu hii ya pili TASAF inatekeleza mradi wa ujenzi wa Nyumba ya watumishi wa elimu katika shule ya sekondari Gambosi yenye thamani ya shilingi 63,327,922.08 na nyumba ya Mtumishi wa afya katika kituo cha afya Byuna mradi wenye thamani ya shilingi 56,214,732.14

Mratibu wa Mpango wa TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Bw. Marco Makungu amebainisha kuwa katika miradi yote inayoendelea kutekelezwa ubora wake ni wakuridhisha na usimamizi wa karibu unaendelea ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati ili iweze kuongeza tija katika sekta za elimu na afya.

Matangazo

  • SHULE YA SEKONDARI NYASOSI YAPANDISHWA HADHI March 16, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA WATENDAJI WA VIJIJI February 23, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 - BARIADI DC December 14, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III March 02, 2023
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • TASAF YAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI BARIADI DC

    January 23, 2023
  • RUWASA SIMIYU YATIA SAINI MIKATABA YA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

    January 11, 2023
  • BALOZI WA PAMBA AMALIZA ZIARA BARIADI DC

    November 27, 2022
  • BALOZI WA PAMBA NCHINI AANZA ZIARA BARIADI DC

    November 26, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Ukamilishaji wa Shughuli za Madawati
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255712431642

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.