Posted on: November 10th, 2022
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Ndg. Halidi Mbwana amefanya ziara katika Tarafa ya Nkololo kusikiliza changamoto za watumishi waliopo katika kata za Nkololo, Ihusi, Mwaumatondo, M...
Posted on: November 4th, 2022
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi limewasisitiza watendaji wote kuanzia ngazi ya vijiji na kata kuhakikisha wanakusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali vilivyopo katika Halmas...
Posted on: October 25th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mh. Lupakisyo Kapange amewataka wananchi wa Wilaya ya Bariadi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Uviko-19.
Mh. Kapange alitoa rai hiyo katika kikao cha Afya ...