• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

IDARA YA HUDUMA ZA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE

1. IDARA YA HUDUMA ZA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE

Lengo

Kutoa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa ustawi wa jamii. Majukumu Kitengo kitafanya kazi zifuatazo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za utoaji wa huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za sekta ya afya katika Halmashauri;
  • Kukuza ushiriki wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kutayarisha na kuwasilisha taarifa za huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mamlaka husika;
  • Kuandaa mikakati ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza;
  • Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe; na
  • Kusimamia kanzidata ya masuala ya afya, ustawi wa jamii na huduma za lishe.

itaongozwa na Mkuu ambaye pia atakuwa Mganga Mfawidhi wa Halmashauri (CMoH). Idara itakuwa na Sehemu tatu (3) kama ifuatavyo:-

i) Sehemu ya Huduma za Afya;

ii) Sehemu ya Ustawi wa Jamii; na

iii) Sehemu ya Huduma za Lishe

1.2 Sehemu ya Huduma za Afya

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, na Taratibu za huduma za afya;
  • Kushauri kuhusu uratibu na kujenga uwezo wa huduma za afya;
  • Kuandaa mipango na programu za muda mfupi na mrefu za huduma za afya;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu masuala ya huduma za afya; na
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya magonjwa ya mlipuko, kuzuia magonjwa yasiyoambukiza, ya kuambukiza na ibuka katika vituo vyote, jamii na sehemu za kuingilia.

     Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

1.3 Sehemu ya Ustawi wa Jamii

Kitengo kitafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji wa ustawi wa jamii;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya Ustawi wa Jamii;
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu Ustawi wa Jamii; na
  • Kutayarisha taarifa zinazohusiana na ustawi wa jamii.

  Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

1.4 Sehemu ya Huduma za Lishe

Kitengo kitafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji lishe;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na mrefu ya lishe;
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu lishe;
  • Kutayarisha taarifa zinazohusiana na lishe ya jamii;
  • Kuhamasisha jamii kuhusu masuala ya lishe;
  • Kufuatilia na kutathmini utoaji wa huduma za lishe katika Halmashauri;
  • Kukusanya na kuchambua taarifa za huduma za lishe; na
  • Kutoa huduma za lishe kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.

   Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

 

 

Matangazo

  • SHULE YA SEKONDARI NYASOSI YAPANDISHWA HADHI March 16, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA WATENDAJI WA VIJIJI February 23, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 - BARIADI DC December 14, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III March 02, 2023
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • TASAF YAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI BARIADI DC

    January 23, 2023
  • RUWASA SIMIYU YATIA SAINI MIKATABA YA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

    January 11, 2023
  • BALOZI WA PAMBA AMALIZA ZIARA BARIADI DC

    November 27, 2022
  • BALOZI WA PAMBA NCHINI AANZA ZIARA BARIADI DC

    November 26, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Ukamilishaji wa Shughuli za Madawati
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255712431642

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.