Posted on: September 1st, 2025
Kikundi cha Vijana Wachapakazi kutoka Kijiji cha Banemhi, Kata ya Banemhi, kimeendelea kuonyesha mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 2022.
Kikundi hiki chenye wanachama sita (wote wanaum...
Posted on: August 26th, 2025
Mradi wa ujenzi wa Nyumba ya Kulala Wageni – Nigo Lodge wenye thamani ya shilingi milioni 320 umeendelea kuwa chachu ya maendeleo kijamii na kiuchumi katika Kata ya Dutwa, Halmashauri ya Wilaya ya Bar...
Posted on: August 19th, 2025
Mradi wa Maji Sapiwi, uliogharimu kiasi cha Shilingi milioni 769.4 fedha kutoka Serikali Kuu, umezinduliwa rasmi tarehe 13 Agosti 2025 na Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa katika Kijiji cha Sapiwi...