• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

IDARA YA MIPANGO NA URATIBU

1. IDARA YA MIPANGO NA URATIBU

Lengo

Kutoa utaalamu na huduma katika kupanga bajeti, ufuatiliaji na tathmini. Kitengo hiki kitafanya kazi zifuatazo: -

  • Kuandaa mikakati, mipango na bajeti ya muda wa kati na mrefu;
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mikakati, mipango na bajeti;
  • Kutayarisha na kupitia upya wasifu wa kiuchumi wa Halmashauri;
  • Kuratibu utekelezaji wa ushirikishwaji wa sekta binafsi;
  • Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi, tafsiri na Uhifadhi wa takwimu kwa Halmashauri;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu taratibu za ufuatiliaji na tathmini;
  • Kuratibu Menejimenti ya Maafa ya Halmashauri; na
  • Kuratibu shughuli za Halmashauri zinazotekelezwa na taasisi nyingine kama vile ardhi na maji.

Kitengo hiki kitaongozwa na Mkuu wa Idara na kitajumuisha Sehemu mbili (2) kama ifuatavyo:-

i. Sehemu ya Mipango na Bajeti; na

ii. Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini.

1.1 Sehemu ya Mipango na Bajeti

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera za sekta ya uchumi na uzalishaji;
  • Kutafsiri na kusambaza sera za Wizara Kuu na Kisekta na Halmashauri;
  • Kuratibu mapitio ya utendaji kazi katikati ya mwaka na mwaka;
  • Kuratibu uundaji na utayarishaji wa mipango na bajeti za Halmashauri;
  • Kukusanya taarifa kuhusu miradi, programu na mipango kazi na kuandaa mikakati ya kukusanya rasilimali;
  • Kutoa mwongozo wa kitaalamu na usaidizi wa kurasimisha mchakato wa upangaji mkakati na bajeti ndani ya Halmashauri; na
  • Kuratibu utayarishaji wa taarifa za utekelezaji wa Ilani ya Chama Tawala.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

1.2 Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini

Sehemu hii itafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya Halmashauri;
  • Kutayarisha taarifa za utendaji mara kwa mara;
  • Kutoa michango katika utayarishaji wa mipango, programu na shughuli za kibajeti ikijumuisha kuweka malengo na viashiria vya utendaji;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu ikiwa ni pamoja na kuasisi mchakato wa Ufuatiliaji na Tathmini;
  • Kufanya tafiti za athari kwenye mipango, miradi na programu zinazofanywa na Halmashauri;
  • Kuratibu utoaji wa takwimu na takwimu za kawaida katika sekta zote;
  • Kushirikiana na NBS katika ukusanyaji wa takwimu, kuweka kumbukumbu/uingizaji data, uchambuzi na tafsiri;
  • Kuratibu utayarishaji na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi;
  • Kuandaa na kubuni zana za kukusanya takwimu;
  • Kuratibu utoaji wa takwimu na takwimu za kawaida katika sekta zote;
  • Kuratibu utayarishaji na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi;
  • Kuandaa na kubuni zana za kukusanya takwimu;
  • Kushirikiana na NBS katika ukusanyaji wa takwimu, kuweka kumbukumbu/uingizaji data, uchambuzi na tafsiri;
  • Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti;
  • Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti;
  • Kuratibu utekelezaji wa mikataba ya utendaji; na
  • Kufanya tafiti za utoaji huduma.

Sehemu hii itaongozwa na Afisa Mfawidhi.

Matangazo

  • RIPOTI YA MGAWANYO WA IDADI YA WATU KWA UMRI NA JINSI February 13, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 19, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura. August 31, 2024
  • Tangazo la Shughuli ya Muda Mfupi kwaajili ya Uchaguzi September 17, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Muonekano Halisi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu

    May 31, 2025
  • ZIARA YA MIRADI YA MAENDELEO BARIADI DC

    May 30, 2025
  • Maafisa Elimu Kata na Wakuu wa Shule Wapatiwa Mafunzo ya Usimamizi wa Ufundishaji na Ujifunzaji Fanisi.

    May 30, 2025
  • DC BARIADI AONYA WANANCHI KUTOCHUNGIA MIFUGO KWENYE MAPORI YA AKIBA

    May 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Bariadi, akifafanua kwa undani Banuai ya Halmashauri Wilaya ya Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255683705815

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.