• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

ZIARA YA MIRADI YA MAENDELEO BARIADI DC

Posted on: May 30th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Simon Simalenga, tarehe 30/05/2025 amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu, ikiwemo ujenzi wa bwalo la chakula katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Simiyu, pamoja na shule za sekondari Mwamoto, Ihusi na Amali.


Katika awamu ya pili ya utekelezaji wa mradi huu kupitia Programu ya SEQUIP (Secondary Education Quality Improvement Project), Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi ilipokea fedha zifuatazo:


TSh. Bilioni 1.1 (iliyopokelewa tarehe 21 Juni 2024) kwa ajili ya ujenzi wa:


Vyumba 10 vya madarasa


Chumba cha maktaba


Chumba cha TEHAMA


Mabweni 4 ya wanafunzi


Vyumba 3 vya walimu



TSh. Milioni 350 (iliyopokelewa tarehe 22 Agosti 2024) kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa Bwalo la Chakula katika Shule ya Wasichana ya Mkoa.



Mhe. Simalenga amepongeza kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo na kueleza kuridhishwa kwake na hatua zilizofikiwa. Ameelekeza kuhakikisha kazi zote zilizobaki zinakamilika kwa wakati, ikiwemo umaliziaji wa ngazi za mbele ya bwalo hilo la chakula.


Ziara hiyo ni sehemu ya usimamizi shirikishi wa viongozi wa Serikali kuhakikisha kuwa rasilimali zilizotolewa zinatumika ipasavyo na miradi inatekelezwa kwa ubora na kwa wakati.


#SimiyuYajengwa

#BariadiInaendelea

#SEQUIP

#WasichanaElimuMsingi

#UwekezajiKwenyeElimu

#DCBariadi

#MkoaSimiyu






Matangazo

  • RIPOTI YA MGAWANYO WA IDADI YA WATU KWA UMRI NA JINSI February 13, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 19, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura. August 31, 2024
  • Tangazo la Shughuli ya Muda Mfupi kwaajili ya Uchaguzi September 17, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Muonekano Halisi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu

    May 31, 2025
  • ZIARA YA MIRADI YA MAENDELEO BARIADI DC

    May 30, 2025
  • Maafisa Elimu Kata na Wakuu wa Shule Wapatiwa Mafunzo ya Usimamizi wa Ufundishaji na Ujifunzaji Fanisi.

    May 30, 2025
  • DC BARIADI AONYA WANANCHI KUTOCHUNGIA MIFUGO KWENYE MAPORI YA AKIBA

    May 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Bariadi, akifafanua kwa undani Banuai ya Halmashauri Wilaya ya Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255683705815

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.