✅ Ujenzi wa Miundombinu ya Kudhibiti Taka Hatarishi Wakamilika – Zahanati ya Mwadobana!
Tunayo furaha kuwataarifu kuwa kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kudhibiti taka hatarishi katika Zahanati ya Mwadobana, iliyopo katika Kata ya Mwadobana, Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, sasa imekamilika kikamilifu!
Bariadi
Anuani: 109-Bariadi
Simu: 028 2700012
Simu: +255683705815
Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz
Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.