Kituo cha Rasilimali – Igaganulwa, Kata ya Dutwa
Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kupitia mapato yake ya ndani inaendelea kutekeleza mradi wa kuanzisha kitalu chenye uwezo wa kuzalisha miche 50,000 ya miti ya matunda, dawa, kivuli na mbao ili kuchangia ajenda ya kitaifa ya utunzaji wa mazingira.
✅ Eneo la kitalu limeandaliwa
✅ Viriba 30,000 vimeshajazwa udongo na kupandwa mbegu
Mradi ulianza Februari 2025, unatarajiwa kukamilika Desemba
Malengo ya Mradi:
-Kuzalisha miche bora kwa ajili ya jamii na taasisi
-Kutoa elimu ya upandaji miti na uhifadhi wa mazingira
-Kutoa ajira za muda kwa wananchi
Tunapanda kwa kesho endelevu!
#MazingiraBora #BariadiDC #UpandajiMiti #UhifadhiMazingira #GreenTanzania #Kijanihai
Bariadi
Anuani: 109-Bariadi
Simu: 028 2700012
Simu: +255683705815
Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz
Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.