• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

MWENYEKITI WA TALGWU AWASIHI WANACHAMA WAKE KUTOJIONDOA KWENYE CHAMA HICHO

Posted on: October 4th, 2022

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Ndg. Tumaini Nyamhokya amewasihi wanachama wa TALGWU kutojiondoa uanachama.

Rai hiyo imetolewa  alipokuwa katika ziara ya kutembelea Matawi ya TALGWU yaliyopo wilayani Bariadi Mkoani Simiyu. Ndg. Nyamhokya alibainisha kuwa wapo baadhi ya Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa ambao huamua kujitoa kwenye chama hicho hali ambayo hupelekea kukosa utetezi pale wapatapo changamoto mbalimbali za kiutumishi.

       Baadhi ya wanachama wa TALGWU tawi la Dutwa Hospitali wakiwa kwenye mkutano na Mwenyekiti wa chama hicho

Aidha Ndg. Nyamhokya aliendelea kusisitiza kuwa TALGWU ipo imara kutetea haki na maslahi ya wanachama wake hivyo panapotokea changamoto zozote za kiutumishi ni vyema kuwasiliana na viongozi wa TALGWU wa ngazi mbalimbali ili waweze kupewa msaada kuliko kufanya maamuzi ya kujiondoa uanachama.

        Mwenyekiti wa TALGWU (wa kwanza kushoto) pamoja na wajumbe waliokaa meza kuu wakiimba wimbo wa Mshikamano

Ziara ya Mwenyekiti huyo wa TALGWU ni miongoni mwa Ziara zake za kikazi ambazo huzifanya mara kwa mara katika mikoa mbalimbali nchini lengo likiwa ni kukutana na wanachama wake wa maeneo tofauti tofauti na kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili wanachama hao vilevile kupeana mrejesho wa mambo mbalimbali yanayoendelea kuhusu chama hicho.

Matangazo

  • RIPOTI YA MGAWANYO WA IDADI YA WATU KWA UMRI NA JINSI February 13, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 19, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura. August 31, 2024
  • Tangazo la Shughuli ya Muda Mfupi kwaajili ya Uchaguzi September 17, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • Muonekano Halisi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu

    May 31, 2025
  • ZIARA YA MIRADI YA MAENDELEO BARIADI DC

    May 30, 2025
  • Maafisa Elimu Kata na Wakuu wa Shule Wapatiwa Mafunzo ya Usimamizi wa Ufundishaji na Ujifunzaji Fanisi.

    May 30, 2025
  • DC BARIADI AONYA WANANCHI KUTOCHUNGIA MIFUGO KWENYE MAPORI YA AKIBA

    May 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Bariadi, akifafanua kwa undani Banuai ya Halmashauri Wilaya ya Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255683705815

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.