• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Bariadi District Council
Bariadi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

  • Mwanzo
  • Huduma
    • Elimu
    • Teknolojia Habari na Mawasiliano
    • Maji
    • Miundombinu
    • Mapato
      • Mazao
      • Pamba
      • Zabuni
      • Minada
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Formu za Maombi
    • Bajeti
    • Vibali
    • Miungozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albamu za Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Endelevu
    • Uwekezaji

TIMU YA UKUSANYAJI WA MAPATO BARIADI DC YAKABIDHIWA VITENDEA KAZI

Posted on: February 6th, 2025

Timu ya ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi leo Februari 06, 2025 imekabidhiwa vitendea kazi mbalimbali kama vile viakisi mwanga 50, Makoti ya mvua 50, Kofia 50, Tochi 10 pamoja na vibanda vya walinzi vinne.

Akizungumza wakati akikabidhi vitendea kazi hivyo Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe.Simon Simalenga amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kwa hatua hiyo kwani itaongeza ufanisi katika zoezi zima la ukusanyaji wa mapato.

"Timu mnayokwenda kukusanya mapato niwaombe sana popote mtakapokuwa sisi tutakuwa tunawamulika, ukisimamisha gari kuna mapato unatakiwa ukusanye ni lazima POS zitumike, zisipokelewe fedha ukaweka mfukoni mwako" alisisitiza Mhe.Simalenga

Timu ya wakusanya mapato ya Halmashauri baada ya kukabidhiwa vitendea kazi vikiwemo viakisi mwanga

Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kwa sasa imeanza kutekeleza mfumo wa uuzaji wa mazao wa stakabadhi ya ghala hivyo vizuizi vya ukaguzi wa mazao na vitendea kazi vilivyogawiwa leo vitasaidia katika kudhibiti utoroshwaji wa mazao.

Matangazo

  • RIPOTI YA MGAWANYO WA IDADI YA WATU KWA UMRI NA JINSI February 13, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 19, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura. August 31, 2024
  • Tangazo la Shughuli ya Muda Mfupi kwaajili ya Uchaguzi September 17, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA BWENI NA UZIO – SHULE YA MSINGI IGAGANULWA

    September 03, 2025
  • Vijana Wachapakazi Banemhi Wafanikiwa Kupitia Mradi wa Bodaboda

    September 01, 2025
  • Nigo Lodge – Nguzo ya Maendeleo Igaganulwa, Bariadi

    August 26, 2025
  • MRADI WA MAJI SAPIWI WAZINDULIWA RASMI NA MWENGE WA UHURU 2025

    August 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Bariadi, akifafanua kwa undani Banuai ya Halmashauri Wilaya ya Bariadi
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matangazo
  • Habari
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YAWILAYA BARIADI

Kurasa Husishi

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • Wizara ya Fedha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Bariadi

    Anuani: 109-Bariadi

    Simu: 028 2700012

    Simu: +255683705815

    Barua Pepe: info@bariadidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2019 Bariadi District Council . All rights reserved.